Mujarabat Dua & Amali za Dini
Mujarabat - Dua na Amali Zilizojaribiwa

Dua, Amali na Majina ya Allah kwa Ufumbuzi wa Maisha

Pakua vitabu vya dua na dhikr zilizojaribiwa (PDF) na darsa za sauti (MP3). Jifunze dua maalum, siri za majina ya Allah, na amali mbalimbali za kila siku zitakazokusogeza karibu na Mola wako na kutatua changamoto za maisha yako.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ

"Soma kwa jina la Mola wako aliyeumba..."

Surat Al-Alaq: 1

Dua Zilizojaribiwa na Vitabu vya Amali

Ufumbuzi wa Kiroho na Amali za Kupakua

Pata amali na dua zilizojaribiwa moja kwa moja kwenye simu yako. Chagua bidhaa, lipia kwa simu au kadi, na upate faili lako papo hapo.

AMALI KUU YA SIKU YA ARAFA

Bure

Ndugu yangu, Siku ya Arafa ikipita na mfungaji ameomba dua hizi nzito, basi ajiandae kuona miujiza katika maisha yake na…

Bei ya Bidhaa BURE
Kujibiwa na Kupata Faida ya Biashara kabla ya Jua Kuzama
Bure

Hii amali unaweza ifanya ukiwa umefunga inapendeza zaidi na kama hujafunga kuna nia utaiona utabadilisha kutokana na wakati…

Bei ya Bidhaa BURE
Makala na Habari za Mujarab

Soma na Ujifunze Bure

Pata amali na dua zilizojaribiwa moja kwa moja kwenye simu yako soma bure

Makala ya Dini 62 reads

Maqam al-Tafwidh (Daraja la Kukabidhi Mamlaka)

Maqam al-Tafwidh (Daraja la Kukabidhi Mamlaka). Hapa hutumii nguvu zako kuamrisha jambo, bali unampa Mwenyezi Mungu "Usukani" wa maisha yako ili yeye ndiye awe Meneja wa miradi yako,…

04 Jun, 2026

Maelekezo na Msaada Kuhusu Ulinzi wa Vitabu Yetu

Kila kitabu na faili litakalopakuliwa linasajiliwa kipekee kwenye mfumo wetu chini ya Transaction ID yako ya malipo. Ili kuzuia uharamia na usambazaji holela, link uliyopewa itakuwa "LOCKED" (imefungwa) mara tu utakapoikamilisha kuipakua mara ya kwanza. Tafadhali usimpe link yako mtu mwingine; ukifanya hivyo, atafungua link na itakataa kutoa faili!